Irie Productions

Gotta Irie's vibes from Irie Productions.

Listen on:

  • Podbean App

Episodes

Wednesday Nov 07, 2012

Kumbumkumbu ya wakati wa 'RoadBlock'!! Ilikuwa ni wakati Gotta Irie yupo East Africa Radio akitangaza kipindi cha Reggae kilichoitwa RoadBlock.
Playlist:
FIRE - Anthony B
REDDER  FIRE - Capleton
ZEEKS - Cocoa Tea & Louie Culture
MAN A SOLDIER - Mountain Lion
RAT RACE - Silver Cat
UNSEEN EYES - Determine
TEACH DEM - Chaka Demus
(Ras Tekla - Interview)
WHAT WILL IT TAKE - Junior Kelly
RAGGY ROAD - Capleton
*** THIS IS PART ONE ***

Intro to IRIE VIBES

Sunday Nov 04, 2012

Sunday Nov 04, 2012

Hii ni utangulizi wa mfululizo wa vipindi tofauti vya Irie Vibes. Vipindi vinarekodiwa katika studio za Irie Productions zilizopo Tegeta, Dar Es Salaam, Tanzania.
Kipindi kinatangazwa na Gotta Irie, na mfululizo unaofuata utakuwa na muziki, mazungumzo, na majadiliano mengine yatakayojitokeza. Ni kipindi cha kirafiki na kijamii zaidi.
Karibu!

Copyright 2012 Irie Productions. All rights reserved.

Podcast Powered By Podbean

Version: 20240320