Sunday Nov 04, 2012
Intro to IRIE VIBES
Hii ni utangulizi wa mfululizo wa vipindi tofauti vya Irie Vibes. Vipindi vinarekodiwa katika studio za Irie Productions zilizopo Tegeta, Dar Es Salaam, Tanzania. Kipindi kinatangazwa na Gotta Irie, na mfululizo unaofuata utakuwa na muziki, mazungumzo, na majadiliano mengine yatakayojitokeza. Ni kipindi cha kirafiki na kijamii zaidi. Karibu!
Comments (0)
To leave or reply to comments, please download free Podbean or
No Comments
To leave or reply to comments,
please download free Podbean App.